Hello Bitcoiners & Everyone! A huge THANK YOU to @Zaawaadi for the generous contribution of 83,944 sats to our project ( @BITCOINSAFARITZ ) on @Geyser 🧑 β€” your support truly means a lot and is helping us move forward in building a stronger Bitcoin Circular Economy here in Tanzania. Your kind words, β€œMradi Mkubwa. Bahati Nzuri Katika siku zijazo”, by @Zaawaadi beautifully translated as β€œA Big Project. Good Luck in the Future” β€” are not only encouraging but deeply appreciated by the entire BitcoinSafariTz team. Let’s keep building, educating, and orange-pilling more communities. Together we rise! #BitcoinSafariTz #BitcoinAfrica #GeyserFund #ProofOfWork #BitcoinEducation #zaawadi
Hello Everyone πŸ‘‹ Let’s make this Tuesday count by learning more about *Technology* πŸ’»βš‘ Do you have any questions or curiosity about Bitcoin, Blockchain, Wallets, Mining, Security, or any other tech-related topic? *Now is your chance!* Drop your tech questions anonymously using the link below: πŸ‘‰πŸΏ Let’s grow together β€” no question is too small!
Habari Watanzania Wenzangu πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, BitcoinSafariTz tumekuja na mpango mpya wa elimu na mazungumzo ya wazi kuhusu teknolojia ya Blockchain na Cryptocurrency, utakaofanyika mara 2 hadi 3 kwa wiki. Kupitia programu hii, utapata fursa ya kukutana na wataalamu waliobobea katika nyanja mbalimbali kama vile Blockchain technology, Developers, Bitcoin adoption, na mengineyo yanayohusu mustakabali wa fedha za kidigitali. Lengo letu ni kutoa maarifa sahihi kwa Watanzania kwa lugha rahisi, kukuza uelewa kuhusu fursa zilizopo kwenye teknolojia hii, na kusaidia jamii kushiriki kikamilifu kwenye mapinduzi ya kidigitali. πŸ“Œ Mada ya Kwanza ya Leo: "Tupige Story: Blockchain Adoption Tanzania & Fursa Zake" Tutajadili: - Uwezekano wa blockchain kwa Tanzania - Changamoto na suluhisho - Maoni ya washiriki - Na maandalizi ya programu ya kudumu πŸ•— Muda: Saa 2:00 Usiku hadi 4:00 Usiku (EAT) πŸ“ Mahali: Google Meet πŸ”— Link ya Darasa: https://meet.google.com/nix-dtqo-rvu πŸ—“οΈ Ongeza kwenye kalenda yako (Google Calendar):* Usikose! Karibu ujifunze, uchangie, na upate mtazamo mpya kuhusu teknolojia ya blockchain. Elimu ni Ukombozi – Bitcoin ni Suluhisho. #BitcoinSafariTz #BlockchainTanzania #BitcoinEducation #BitcoinAfrica #DigitalInnovation #BlockchainAdoption #SatoshiSpirit #BitcoinElimu #BitcoinCommunity #WatanzaniaNaBitcoin image