Habari Watanzania Wenzangu πΉπΏ,
BitcoinSafariTz tumekuja na mpango mpya wa elimu na mazungumzo ya wazi kuhusu teknolojia ya Blockchain na Cryptocurrency, utakaofanyika mara 2 hadi 3 kwa wiki.
Kupitia programu hii, utapata fursa ya kukutana na wataalamu waliobobea katika nyanja mbalimbali kama vile Blockchain technology, Developers, Bitcoin adoption, na mengineyo yanayohusu mustakabali wa fedha za kidigitali.
Lengo letu ni kutoa maarifa sahihi kwa Watanzania kwa lugha rahisi, kukuza uelewa kuhusu fursa zilizopo kwenye teknolojia hii, na kusaidia jamii kushiriki kikamilifu kwenye mapinduzi ya kidigitali.
π Mada ya Kwanza ya Leo:
"Tupige Story: Blockchain Adoption Tanzania & Fursa Zake"
Tutajadili:
- Uwezekano wa blockchain kwa Tanzania
- Changamoto na suluhisho
- Maoni ya washiriki
- Na maandalizi ya programu ya kudumu
π Muda: Saa 2:00 Usiku hadi 4:00 Usiku (EAT)
π Mahali: Google Meet
π Link ya Darasa:
https://meet.google.com/nix-dtqo-rvu
ποΈ Ongeza kwenye kalenda yako (Google Calendar):*
Usikose! Karibu ujifunze, uchangie, na upate mtazamo mpya kuhusu teknolojia ya blockchain.
Elimu ni Ukombozi β Bitcoin ni Suluhisho.
#BitcoinSafariTz #BlockchainTanzania #BitcoinEducation #BitcoinAfrica #DigitalInnovation #BlockchainAdoption #SatoshiSpirit #BitcoinElimu #BitcoinCommunity #WatanzaniaNaBitcoin

An error occurred - Calendar


